Lake Victoria lack basic information on the status and distribution of fish species, and the absence of long-term monitoring of freshwater biodiversity (IUCN). Blue Victoria is dedicated to conduct monitoring of fish species in the lake, provide education to community on fishes and biodiversity knowledge
Shirika la Blue Victoria lilibahatika kualikwa kwenye mjadala wa kitaifa wa siku mbili wa Nishati Safi ya Kupikia uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Mjadala huu uliandaliwa na Wizara ya Nishati na kufunguliwa na Rais wa JMT... pic.twitter.com/susFeOL81A
— Blue Victoria (@BlueVictoriatz) November 3, 2022